

Nguo · Unisex
Seti ya Pajama ya Miraba — Mtu Mmoja
TSh 60,000Ipo tayari
Shati la miraba la mikono mirefu lenye vifungo na suruali inayofanana. Picha inaonesha mitindo miwili; bei ni ya seti ya vipande viwili ya MTU MMOJA. Thibitisha mtindo na vipimo kupitia WhatsApp. Bei ni makadirio; thibitisha kabla ya malipo.
Chagua rangi, saizi na idadiUsafirishaji utapangwa kando kabla ya kutuma.
Chaguo za bidhaa
Mwongozo wa saizi
Thibitisha saizi, vipimo na rangi na duka kabla ya malipo. / Thibitisha saizi, measurements and colour with the shop before payment.